Skip to main content
Paul Mwasapi

Paul Mwasapi

Aug 17, 2026

39:05
Naenda rangi.
39:06
Sawa, sawa.
39:07
Sasa jambo la, la nne ni never skip the basics.
39:11
Eeeh, the basics kwenye investing, eeeh ni kama vile unasikia have some emergence fund, have some liquid cash, have some sinking fund na vitu vingine.
39:28
Eeh hivi vitu watu wengi wanavipuuizia.
39:31
Eeeh na of course uwekezaji hasa ukianza, unapata kaaddiction fulani.
39:37
Eeeh kwamba bwana mimi kila nikipata shilingi mia, nataka moja kwa moja iende kwenye kununua hisa.

8 MINS LATER

47:35
Eeh.

We value your privacy

We use cookies to understand how you use our platform and to improve your experience. Click “Accept All” to consent, or “Decline non-essential” to opt out of non-essential cookies. Read our Privacy Policy.